HWA NDIYO VIMWANA WA TIMU YA (FREEMEDIA LADY)

Picha ya wachezaji vimwana wa timu ya Freemedia Lady, wakiwa katika pozi kali kama la kimodo vile ambayo jana ilikuwa icheze na timu ya Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo hata hivyo timu hiyo haikushuka dimbani kwa madai kuwa timu ya Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo imechezesha mamluki, michezo ya Kombe la NSSF inaendelea kwenye viwanja vya TCC Sigara Chang'ombe jijini Dar es salaam.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment