SEMINA YA KUHAKIKI RIPOTI YA (APRM TANZANIA) YAFANYIKA JIJINI DAR!!

Balozi na Mkurugenzi Idara ya Afrika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Francis Malambugi akifungua semina ya siku moja jijini Dar esalaam leo. Semina hiyo ni ya Kitaifa ya kuhakiki Ripoti ya nchi iliyoandaliwa na APRM Tanzania.(Africa Peer Review Mechanism)- Mpango wa Hiari wa nchi za Umoja wa Afrika Kujipima kwa Vigezo vya Utawala Bora
kwa madhumuni ya kubadilishna mawazo juu ya Ripoti ya nchi Tathmini ya Utawala Bora. Picha na Mwanakombo Jumaa-Maelezo.

Baadhi ya maofisa mbalimbali wakisikiliza mambo mabalimbali yaliyokuwa yakizungumzwa na mgeni rasmi katika ufunguzi wa semina hiyo inayofanyika jijini Dar es salaam.
Baadhi ya washiriki wa semina wakifuatillia hotuba ya mgeni rasmi ambae pichani hayumo.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment