Katibu mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mshariki Balozi Juma Mwapachu akiongea na waandishi wa habari kuhusu mkutano wa Reli kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki utakaofanyika jijini Dar es salaam kuanzia kesho tarehe 11th -12th , Machi dhima kuu ikiwa ni Uendelezaji wa mfumo wa usafiri wa reli kwa lengo la kudumisha ushirikiano, kurahisha usambazaji wa bidhaa na kukuza chumi za Jumuiya ya Afrika Masharikai na zile za SADC na COMESA.Picha na Aron Msigwa – MAELEZONCHI ZA AFRIKA MASHARIKI KUUNGANISHWA KWA RELI!!
Posted by
ADMIN
Katibu mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mshariki Balozi Juma Mwapachu akiongea na waandishi wa habari kuhusu mkutano wa Reli kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki utakaofanyika jijini Dar es salaam kuanzia kesho tarehe 11th -12th , Machi dhima kuu ikiwa ni Uendelezaji wa mfumo wa usafiri wa reli kwa lengo la kudumisha ushirikiano, kurahisha usambazaji wa bidhaa na kukuza chumi za Jumuiya ya Afrika Masharikai na zile za SADC na COMESA.Picha na Aron Msigwa – MAELEZOYou liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment