NDESAMBURO AVAMIWA NA WANACCM WAWILI KWA MPIGO MOSHI MJINI!!

Bwana Batista Mwendivita ambaye ni Mjumbe wa halmashari kuu ya Wilaya ya Moshi Mjini CCM na Mwenyekiti wa chama cha wenye ulemavu mkoani Kilimanjaro kushoto na MwanaCCM mwingine Gibson Nderangusho wakitangaza mbele ya wanahabari kwa pamoja nia yao ya kugombea ubunge katika jimbo la Moshi Mjini kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM, wote kwa pamoja wamesema wana nia hiyo na katiba zote mbili ya Chama Cha Mapinduzi na ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania zinawaruhusu kufanya hivyo na ni haki yao ya kimsingi , marafiki hao wawili walitangaza nia yao leo kwenye ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

1 comments:

  1. hawa ukiwaangalia tu usoni hawana hata chembe ya kupata kura hata mia kwa moshi mjini labda waende ka mrema kilalacha

Post a Comment