Baadhi ya wajumbe waliohudhuria kwenye mkutano huo wa uchaguzi wa viongozi.Mkutano Mkuu wa watanzania waishio Gauteng ulifanyika tarehe 14 Machi 2010kwenye ukumbi wa Kempton Park Civic Centre, Kempton Park, Johannesburg,Afrika Kusini na kuhudhuriwa na watanzania wengi pamoja na Kaimu Balozi waTanzania nchini Afrika Kusini, Peter Kabissa.Pamoja na mabo mengi yaliyojadiliwa, mkutano huu ulipitisha katiba yajumuiya na kuchagua viongozi wa kudumu wa jumuiya hii.
Wafuataowaliochaguliwa kuwa viongozi wa umoja huu:1. Dk. Faustine Ndugulile-Mwenyekiti2. Bw. Laurean Rugambwa-Makamu Mwenyekiti3. Bi. Josephine Mshilla-Katibu Mkuu4. Bw. Khalfan Kipemba-Katibu Mkuu msaidizi5. Bw. Joseph Mshilla-Mweka Hazina6. Bw. Kassim Kissagalah-Mweka Hazina msaidizi7. Bw. David Mataluma-Katibu wa utamaduni na burudaniWajumbe kamati ya utendaji8. Dk. Robert Ngude-Mwakilishi wa kundi la wafanyakazi9. Bw.Vincent Malugu-Mwakilishi wa kundi la vijana10. Bw. Abuu Chenja -Mwakilishi wa wafanyabiashara11. Bi. Jane Gitonga-Mwakilishi la kundi la kinamama12. Bw. John Sagati-Mwakilishi wa kundi la wanafunzi13. Bw. Jumanne Fikha-Mwakilishi wa UbaloziViongozi waliochaguliwa wanatarajia kukutana hivi karibuni na kuwekamikakati ya kuiimarisha jumuiya hii.IMETOLEWA NA UONGOZITAREHE 16 MACHI 2010





0 comments:
Post a Comment