Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam William Lukuvi akihutubiwa wanawake na wakazi wa jiji la Dar es salaam katika viwanja vya mnazi mmoja leo wakati wa maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani iliyofanyika leo Duniani kote, nchini Tanzania siku hiyo imeadhimishwa kitaifa Mkoani Tabora ambapo Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete.MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE MKOANI DAR ES SALAAM!!
Posted by
ADMIN
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam William Lukuvi akihutubiwa wanawake na wakazi wa jiji la Dar es salaam katika viwanja vya mnazi mmoja leo wakati wa maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani iliyofanyika leo Duniani kote, nchini Tanzania siku hiyo imeadhimishwa kitaifa Mkoani Tabora ambapo Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete.You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)








0 comments:
Post a Comment