
Afisa Umwagiliajikutoka kanda ya Morogoro Kutoka Wizara ya Maji na Umwagiliaji Rojers Ishengoma (shati jeupe na miwani )akimpatia maelezo Waziri wa maji na Umwagiliaji Prof. Mark Mwandosya jana alipotembelea kuangalia shamba la umwagiliaji wa wana ushirika wa Segeni Wilaya ya Rifiji. (aliyevaa kaunda ya maji bahari ) Mkuu wa wilaya ya Rufiji Kassim Majaliwa.

Mshauri wa mradi wa Maji Ikwiriri Mhandisi Inocent Msaki (kushoto) akimpa maelezo Waziri wa Maji na Umwagiliaji (kati) Prof. Mark Mwandosya jana alipotembelea mradi huo wilaya ya Kibiti. (kulia) ni Msimamizi wa mradi wa usambazji maji vijijini kutoka Shirika la majisafi na majitaka Dar es salaam (DAWASA) Romanus Mwanying’o. Picha na Mwanakombo Jumaa-maelezo

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof. Mark Mwandosya (kitenge) wakiteremka baada ya kuaangalia ujenzi mkubwa wa mradi wa usambazaji maji vijijini unaofanywa na kampuni ya Spercon Ltd katika wilaya ya Kibiti mkoa wa Pwani.. Mwengiei mwenye Kaunda ni Mbunge wa Kibiti Abdul Malombwa.Picha na Mwanakombo Jumaa wa Maele

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof. Mark Mwandosya (mwenye kitenge) akikagua mradi wa shamba la umwagiliaji la ushirika wa wananchi wa kijiji cha Segeni wilayani Rufiji jana alipotembelea kuangalia miradi ya umwagiliaji maji. Picha na Mwanakombo Jumaa-Maelezo.
0 comments:
Post a Comment