KUVISHA PETE NI VYEMA SANA LAKINI KUOA NI KAZI NYINGINE!!

TID akiwa katikati ya perfomance Platinum Club Mikocheni, aliamua kuwashangaza watu alipozima muziki na kutangaza kuwa yuko tayari kuoa, kuhangaika tena sasa baaaaasi. Na mrembo Kinana ndie mwanamke aliemchaguliwa kuwa mke wake.
FULLSHANGWE tunakupongeza Mwanamuziki TID kwa kuamua kupata mwenza lakini kuvisha pete si kuoa inachotaka kuona jamii na mashabiki wako ni kuoa kwa taratibu zinazotakiwa tunawatakia kila mafanikio katika mipango yenu ya ndoa mungu awajalie na kufikia malengo yenu mliyojiwekea, hatimaye kuwa mwili mmoja kama maneno ya mungu yanavyosema "Mwanamke atawaacha wazazi wake na kuambatana na mumewe na kuwa mwili mmoja"

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

1 comments:

  1. mmm huyo bibi namuona huruma maana kazi anayo ajiandae kumshughulikia kumwekea dhamana maana TID aishi kuswekwa rumande kila kikucha, na amuuoe kweli siyo alete show

Post a Comment