TIMU YA SIMBA WEKUNDU WA MSIMBAZI INAWATAKIA MASHABIKI WAKE WOTE POPOTE WALIPO NA WATANZANIA KWA UJUMLA HERI YA MWAKA MPYA NA WENYE MAFANIKIO MAKUBWA.
UJUMBE = HUU NI MWAKA WA SIMBA SPORTS CLUB TUSHIKAMANE KWA PAMOJA KWA MANUFAA YA SIMBA SPORTS CLUB NA WANASIMBA WOTE
2 comments:
simba inatisha utafikiri timu ya ulaya hii picha
Eti timu hii kama ya Ulaya! huo mtazamo hasi! we angalia wachezaji wa ulaya wakipiga picha kama hizo nyuso zao sambamba na viongozi wao! nyuso zinakuwa zinang'aa! sasa cheki nyuso sambamba na miili yao. yaani unaona kabisa kwamba wamekomaa kwa sababu ya kunywa chombo(viroba). wapeni lishe wachezaji!
Post a Comment