(Picha na Fredy Maro wa Ikulu).
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi waandamizi wa chama na serikali akiwemo Rais wa Zanzibar Amani Abeid Karume,Makamu wa Rais Dr.Ali Mohamed Shein,Waziri kiongozi wa SMZ Shamsi Vuai Nahodha wakiuswalia mwili wa Marehemu Mzee Rashid Mfaume Kawawa wakati wa ibada mazishi iliyofanyika nyumbani kwake Madale jana.
Rais Kikwete alipoongoza Watanzania katika Mazishi ya Mzee Kawawa!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment