UJUMBE = HUU NI MWAKA WA SIMBA SPORTS CLUB TUSHIKAMANE KWA PAMOJA KWA MANUFAA YA SIMBA SPORTS CLUB NA WANASIMBA WOTE
SALAAM ZA SIMBA SPORTS CLUB KWA MASHABIKI WAKE NA WATANZANIA WOTE!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





2 comments:
simba inatisha utafikiri timu ya ulaya hii picha
Eti timu hii kama ya Ulaya! huo mtazamo hasi! we angalia wachezaji wa ulaya wakipiga picha kama hizo nyuso zao sambamba na viongozi wao! nyuso zinakuwa zinang'aa! sasa cheki nyuso sambamba na miili yao. yaani unaona kabisa kwamba wamekomaa kwa sababu ya kunywa chombo(viroba). wapeni lishe wachezaji!
Post a Comment