Makachero wa polisi wakijaribu kumdhibiti kijana aliyejipaka kinyesi ili kukwepa kibano baada ya kudaiwa kuiba simu katikati ya jiji la Dar es salaam hivi karibuni jina lake halikufahamika mara moja na jamaa aliyeibiwa simu yake, mapambano yalikuwa ni makali hata hivyo makachero hao walifanikiwa kumdhibiti kibaka huyo na kumpeleka kituoni kwa taratibu zaidi za kisheria.
YAANI UIBE ALAFU UTEGEMEE KUJIPAKA KINYESI ILI USIKAMATWE NA POLISI, HII NI AIBU!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment