WASHIRIKI KISURA WA TANZANIA WATEMBELEA KIWANDA CHA SERENGETI!!

Meneja Uhusiano wa Serengeti Breweriers Ltd Teddy Mapunda akiwaelezea jambo washiriki wa shindano la Kisura wa Tanzania wakati walipotembvelea kiwandani hapo ili kujionea na kujifunza mambo mbalimbali jinsi shughuli za uzalishaji zinavyofanywa kiwandani hapo shindano hilo linatarajiwa kufikia tamati mwezi huu ambapo mshindi atatangazwa kwenye Hoteli ya Movenpick jijini Dar es salaam.
Vimwana wanaoshiriki katika shindano la Kisura wa Tanzania wakimsikiliza Meneja Uhusiano wa Kapmuni ya Serengeti Breweriers Ltd Teddy Mapunda wakati walipotembelea kiwandani hapo ili kujionea shughuli mbalimbali zinazofanya na wafanyakazi wa kiwanda hicho katika uzalishaji wa vinywaji vyake.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment