Ukarabati wa mifereji ya maji taka unaendelea jijini Dar es salaam kama unavyowaona mafundi hawa waliokutwa na Camera ya FULLSHANGWE wakijaribu kukarabati mifuniko ya Chemba za mifereji hiyo katika mtaa wa Samora hivi karibuni , hata hivyo kufuatia ukarabati huo kumekuwepo na uharibifu mkubwa wa barabara za jiji kutokana na kampuni hizo kushindwa kurejesha kiwango cha barabara hizo kama zilivyokuwa kabla ya ukarabati huo.
UKARABATI TUNAUKUBALI, LAKINI UHARIBIFU WA BARABARA HAUFAI!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment