VODACOM YAMWAGA MISAADA VITUO 10 JIJINI DAR ES SALAAM!!

Mfanyakazi wa Vodacom George Kulata akikabidhi msaada wa vyakula mbalimbali kwa mtotoHussein Hassan wa kituo hicho pamoja na mbuzi kwa ajili ya sikukuu ya Krismass katika kituo cha kulelea watoto cha CHAKUWAMA kilichopo Sinza Mori jijini Dar es salaam, Vodacoma Foundation leo imetoa msaada wa vitu mbalimbali vikiwemo vyakula katika vituo 10 vya watoto Yatima wanaopiga makofi ni Edwin Tema kiongozi wa Vodacom Busness na mwaisho ni Moamed Kalambo mfanyakazi wa Vodacom.
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania kitengo cha Busness wakiwa katika picha ya pamoja katika kituo cha ulelea watoto yatima cha CHAKUWAMA kilichopo Sinza Mori walipoenda kutoa msaada wa vyakula na vitu mbalimbali kituoni hapo leo.
Kiongozi wa Kikundi cha Vodacom Busness Edwin Temba kulia akishikana mkono na Mkurugenzi mkuu wa kampuni hiyo Dietlof Mare kabla ya kikundi chake kuelekea Sinza kwa ajili ya kutoa msaada kwenye kituo cha CHAKUWAMA leo.
Mkurugenzi wa Vodacom nchini bw. Dietlof Mare akicheza na wa watoto yatima kuonyesha upendo wake kwa watoto hao Vodacom imetoa misaada Mbalimbali k kwa ajili ya sikukuuu kwa vituo 10 vya watoto yatima vilivyoko jijini Dar es salaam leo.
Sasa ni ngoma kwa kwenda mbele mdau hebu wacheki hawa.
Mkuu wa kitengo Cha Vodacom Foundation Mwamvita Makamba kulia akiwaelekeza kitu Fina Mango Godwin Gondwe na Necta Foya ili kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa.
Wajuu wa Vodacom wakiwa wamekaa wakisikiliza burudani mbalimbali wakati wa sherehe za Vodacom Foundation Share and Care leo pale New World Cinema.
kurugenzi wa nasoko wa Vodacom Ephraim Mafuru akiwa katika picha ya pamoja na maiwaifu wake na watoto wake wakati wa wafanyakazi wa Vodacom walipokutana pamoja katika viwanja vya new World Cinema na kutoa misaada kwenye vituo 10 jijini Dar es salaam leo.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment