MEDIA DAY YAFUNIKA NDANI YA MSASANI BEACH CLUB!

Afisa Uhusiano wa TBL, Maneno Mbegu akiimba wakati wa Tamasha la Wanahabari lililofanyika leo kwenye ufukwe wa Msasani Club, waandishi kutoka vyombo mbalimbali walijumuika pamoja katika sherehe hizo zilizopambwa na Burudani kutoka kwa bendi ya Msondo Ngoma!!!!!!!!!! Matukio zaidi katika picha tutawaletea kesho.

Wafanyakazi kutoka Clouds FM, kutoka kushoto ni Dina akufuatiwa na Suzzy pamoja na Kayanda.
Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakichukua chakula wakati wa tamasha la wanahabari nchini. Kutoka kulia ni Sharifa, Morland, Edo, Mwanaharusi na Diana.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment