TAMASHA LA MICHEZO LA VODACOM FOUNDATION SHARE & CARE LILIFANA!

Mh Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akimvisha medali Salumu Athumani baada ya kituo chao cha Tacoda kuibuka washindi wa kwanza katika mchezo wa miguu katika tamasha la michezo la Vodacom Foundation la share & care lililofanyika jana kwenye kiwanja cha Shekhe Amri Abeid mjini arusha na kuudhuriwa na zaidi ya watoto yatima 550.
Salumu Haji na Wilson Kimaro ambao ni watoto yatima wakichuana vikali katika mbio za kilometa 100 kwa upande wa wanaume katika tamasha la michezo la Vodacom Foundation lililofanyika kwenye kiwanja cha Shekhe Amri Abeid mjini arusha na kuudhuriwa na zaidi ya watoto yatima 550.

Kurwa shamputa mmoja wa watoto waishio katika mazingira magumu akishiriki katika mchezo wa kuruka viunzi katika tamasha la michezo la Vodacom Foundation la share & care lililofanyika kwenye kiwanja cha Shekhe Amri Abeid mjini arusha na kuudhuriwa na zaidi ya watoto yatima 550.

Rajabu Hussen mmoja wa watoto waishio katika mazingira magumu akishiriki katika mchezo wa kuruka juu( Long jump) katika tamasha la michezo la Vodacom Foundation la share & care lililofanyika kwenye kiwanja cha Shekhe Amri Abeid mjini arusha na kuudhuriwa na zaidi ya watoto yatima 550.

Janeth Shirima mmoja wa watoto waishio katika mazingira magumu akiibuka kuwa mshindi katika mbio za kilometa 100 kwa upande wa wasichana katika tamasha la michezo la Vodacom Foundation la share & care lililofanyika kwenye kiwanja cha Shekhe Amri Abeid mjini arusha
Afisa habari wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu(kushoto)akifanya mahojiano na mmoja wa watoto waishio katika mazingira magumu Salma Mohamed(kulia) katika tamasha la la michezo la Vodacom Foundation la share & care lililofanyika kwenye kiwanja cha Shekhe Amri Abeid mjini arusha

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment