ROTARY CLUB YACHANGISHA FEDHA ILI KUSAFIRISHA VIFAA VYA MSAADA!!

Mjomba Mrisho Mpoto wa pili kutoka kulia akiimba na wanamuziki wa bendi yake inayoitwa Mjomba Band kwenye ukumbi wa Palice Officers Mess jana jioni, wakati wa chakula cha jioni kwa ajili ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kulipia usafiri kutoka bara la Ulaya, Vifaa hivyo vya hospitali vimetolewa na wafadhili mbalimbali katika bara hilo kupitia taasisi ya Rotary Club na vitatolewa katika hospitali mbalimbali ili kusaidia kuondoa matatizo mbalimbali yanayoikabili Sekta ya Afya nchini.
Msanii Paul Nunda kutoka Kenya akiwashwangwesha mashabiki waliojitokeza kwenye unyesho la kuchangisha fedha kwa ajili ya kusafirisha vifaa vya mahospitalini vilivyopatikana kwa wafadhili mbalimbali kutoka bara la Ulaya kupitia Rotary Club, onysho hilo lilifanyika kwenye ukumbi wa police Officers Mess jijini jana.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment