NARGIS MOHAMED MARA BAADA YA KULA NONDOOZ MIAKA 3 IFM!!

Stella kushoto na Nargis wakiwa katika picha ya pamoja katika mahafali ya chuo cha usimamizi wa Fedha IFM baada ya kuhitimu masomo yao mahafali hayo yamefanyika leo kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam.
Nargis akiwa na rafiki yake Evelyne katika mahafali yaliyofanyika leo IFM.

Evelyne katikati akiwa na marafiki zake Siddy kushoto na Hafsa mara baada ya kuhitimu stashahada yake katika chuo cha usimamizi wa fedha IFM leo.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

1 comments:

  1. hongera sana evelyne kwa kula nondo yako ni mimi x-weruweru,x- collinelius, siddy ni ww mama nakuona unavyochana hafsa kweli miaka inakwenda nami nakuja soon next yr

Post a Comment