Dada Zainab Ameremeta zaidi!

Da Zainab akiwa na Matron wake wakifurahia jambo wakati wa sherehe yake ya kumuaga iliyofanyika kwenye Hoteli ya Lamada Ilala juzi Reception inatarajiwa kufanyika jumapili kwenye ukumbi wa Msasani Beach Club jijini Dar es Salaam, FULLSHANGWE inakutakia kila mafanikio katika maisha yenu mapya Hongereni Sana.
Hapa ni Kufurahi tu kwa kwenda mbele.
Da Rehema wa pili kutoka kulia akiwa na rafiki zake wakati wa Sendoff ya Bi Zainab iliyofanyika kwenye ukumbi wa Lamada Juzi.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

2 comments:

  1. Hongera kwa send off!! M/Mungu atawabariki kwa kukamilisha ndoa yenu. Pia Da Rehema na marafiki zake wamependeza ile mbaya! Stay blessed.

  2. hongera, sana mmpendeza mno.pia dada rehema na upendo mmependeza sana.

Post a Comment