MWANAMUZIKI DI BANJI WA NIGERIA ATUA JIJINI, KUFANYA MAMBO TANGANYIKA PAKERS JUMAMOSI!!

Mwanamuziki Di Banji katikati wa Nigeria amewasili leo mchana kwenye uwamja wa ndege wa mwalimu J.K.Nyerere kwa ndege ya shirika la ndege la Ethiopia Airline tayari kwa onyesho lake litakalofanyika kwenye viwanja vya Tanganyika Pakers jijini Dar es salaam akihirikiana na wanamuziki wengine mbalimbali wa nyumbani na Uganada na Kenya, onyesho hilo linatarajiwa kufanyika jumamosi wiki hii Novemba 28/2009.

Mwanamuziki Di Banji akichengua vimwana kutoka kampuni ya Sigara TTC vilivyokuja kumpokea uwanja wa ndege wa J.K.Nyerere leo mchana

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment