MCHUNGAJI CHANCY LUHASA KUTOKA UBELGIJI KUHUBIRI INJILI ASSEMBLIES OF GOD MIKOCHENI B.

Mchugaji Getrude Rwakatale wa Assemblies Of God Mikocheni kushoto na Afisa mtumishi mwingine wa kanisa hilo wakimlaki Mchungaji Chancy Luhasa aliyekuja nchini akitokea Ubelgiji kwa ajili ya kuja kuhubiri neno la mungu katika kanida hilo, Mchungaji Luhasa alilakiwa kwenye uwanja wa ndege wa mwalimu J.K.Nyerere akiwa mwenye furaha, bila shaka ilikuwa ni bashasha ya kumshukuru mungu kwa kufika salama na kukutana na wenyeji wake.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

2 comments:

  1. fanyeni kazi ya Mungu kama neno lake linavyosema ilimumtukuze bwana. siyo kumtukuza mwanadamu. msimtumie mungu kwa kwakujinufaaisha. nakuwalaghai waumini. fanyenyi yaliyo mema mbele za Mungu. naye atawabariki kwa kazi zamikono yenu.

  2. Upendo hauna wivu. Kama umeokoka, lazma utawapenda watumishi wa Mungu na sio kuwahukumu. Mchungaji Rwakatare tunakupenda, Chancy tunakupenda. Musonge mbele katika huduma zenu.

Post a Comment