Wawakilishi wa Baraza la Watoto wakipitia Muswada wa Sheria ya Mtoto leo asubuhi mjini Dodoma!!

Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto, Mhe. Margaret Sitta akizungumza na baadhi ya watoto wakati watoto hao kutoka mikoa mbalimbali walipokuwa wakipitisha muswaada wa sheria ya watoto leo asubuhi kabla ya muswaada huo kupelekwa mbele ya wabunge wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania linaloendelea mjini Dodoma.
wawakilishi wa Baraza la Watoto la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakipitia Muswada wa Sheria ya Watoto mjini Dodoma leo katika Ukumbi wa CCT,kabla ya kuwasilishwa Bungeni.
Watoto hao wanawakilisha watoto wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka katika Mikoa mbalimbali nchini. Picha na (Asteria Muhozya wa Wizara ya Wanawake Jinsia na Watoto)


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

1 comments:

  1. Last name za hao watoto

Post a Comment