MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI LEO!!

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia katika mazungumzo ya Mbunge wa Kilwa Kaskzini,
Dk. Samson Mpanda, kwenye jengo la utawala la Bunge Mjini Dodoma leo, Kulia ni Mke wa Mbunge huyo , Martina Mpanda.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Spika wa Bunge Samuel Sitta akimwapisha Mwanansheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Warema , (kulia) Bungeni Mjini Dodoma leo asubuhi (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

1 comments:

  1. uMEME MGAO.EPA,HUKUMU KWA WALALAHOI TU SIJUI BUNGE LA NINI?. WIZI MTUPU

Post a Comment