Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia katika mazungumzo ya Mbunge wa Kilwa Kaskzini,
Dk. Samson Mpanda, kwenye jengo la utawala la Bunge Mjini Dodoma leo, Kulia ni Mke wa Mbunge huyo , Martina Mpanda.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Spika wa Bunge Samuel Sitta akimwapisha Mwanansheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Warema , (kulia) Bungeni Mjini Dodoma leo asubuhi (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

1 comments:
uMEME MGAO.EPA,HUKUMU KWA WALALAHOI TU SIJUI BUNGE LA NINI?. WIZI MTUPU
Post a Comment