WAPENDA MAENDELEO KUCHANGIA (VICOBA) WILAYANI MISENYI!!

Mwenekiti wa UWT Umoja wa wanawake wa CCM Wilaya ya Misenyi Mkoani Kagera Mrs. Assumpter Mshama akizungumza katika mkutano na wanahabari kwenye ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jana wakati alipokuwa akitangaza hafla ya chakula cha jioni kuchangia mfuko wa VICOBA Wilayani Misenyi itakayofanyika kesho kwenye Hoteli ya New Africa jijini Dar es Salaam, wapenda maendeleo wote wanaalikwa kwa ajili ya kusaidia mfuko huo wa VICOBA katika kusaidia na kuwaondoa kwenye lindi la umasikini wanawake wa Wilaya hiyo katika hafla hiyo mgeni rasmi atakuwa ni Naibu kamishna wa TRA Janerose Mateyunga.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment