Rais Kikwete ampongeza mwenyekiti wa mtaa Kivukoni!!

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Mwenyekiti wa Mtaa wa Kivukoni Bwana Jasper John Makame baada ya kupita bila kupingwa katika uchaguzi wa wa wenyeviti wa mitaa na wajumbe wa mitaa uliofanyika leo.Rais Kikwete na Mama Salma kikwete walijumuika na wakazi wengine wa kivukoni kusikiliza ushindi huo uliotangazwa katika shule ya Msingi Bunge jijini Dar es Salaam(picha na Freddy Maro)

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment