Rais Jakata Kikwete akiwa Tarime jana!!

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa kuweka jiwe la msingi katika kituo cha Afya kinachojengwa katika kijiji cha Ntagacha wilayani Tarime jana mchana.Kituo hicho kimejengwa na mkazi wa kijiji cha Ntagacha kupitia taasisi yake ya City of Hope Dr. John Chacha.
(picha na Freddy Maro)
Mkurugenzi wa Taasisi ya City of Hope Dr. John Chacha akimwongoza Rais Kikwete kukagua majengo ya kituo cha Afya katika kijiji cha Ntagacha muda mfupi baada ya kukifungua jana mchana.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama salma Kikwete pamoja na viongozi wengine wa serikali wakiwasalimia watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha City of Hope wilayani Tarime jana mchana.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment