Mabalozi wa Zambia na korea ya Kusini wawasilisha hati za utambulisho Ikulu Dar es salaam leo!!

Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo amepokea hati za utambulisho kutoka kwa mabalozi wawili wanaoziwakilisha nchi zao hapa Tanzania.Mabalozi hao ni Kim young-Hoon wa Korea ya kusini na Mhe.Darius Steinbeck Bubala wa Zambia.Pichani Balozi Kim Young-Hoon wa Korea ya Kusini akiwasilisha hati zake za utambulisho

Balozi Darius Steibeck Bubala akiwasilisha hati zake za utambulisho kwa Rais Kikwete Ikulu jijini dar es Salaam leo asubuhi(picha na freddy Maro)

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment