ILI KUKWEPA AJALI UMAKINI WAKATI WA KUENDESHA NI MUHIMU

Roli aina ya Scania lenye namba za usajiri T513 ADG mali ya kampuni ya Bakhressa lililokuwa limesheheni Ngano kutoka Bandarini limepinduka kwenye mzunguko wa barabara ya Kirwa na Bandari karibu na BP na kumwaga ngano yote iliyokuwa imepakiwa katika roli hilo, haikuweza kufahamika mara moja chanzo cha ajali hiyo ambayo imetokea mchana huu na bado haijafahamika kama kuna mtu yeyote ameumia au kupoteza maisha.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment