Philipines Mabingwa wa Malta Guinness Street Dance International 2009,

Mabingwa wa Malta Street Dance International 2009, kundi kutoka nchini Philipines wakiwa katika picha ya pamoja na kombe lao na mfano wa hundi wa dola 25,000 walizokabidhiwa jana na waandaaji wa Mashindano hayo kampuni ya Bia Afrika Mashariki (EABL) mjini Nairobi jana.

Vijana wa kitanzania kutoka wilayani Temeke nao waliwakilisha wakiwa washiriki kutoka Tanzania hata hivyo hawakufanikiwa kupata ushindi huo bahati haikuwa yao japokuwa walijitahidi kuonyesha uwezo wao.
Mashabiki mbalimbali walihudhuria shindano hilo jijini Nairobi ambapo mataifa mbalimbali yalishiriki na hatimayePhilipines wakatwaa ubingwa wa Dunia Picha kwa hisani ya Father Kidevu.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment