JAMAA AUCHAPA USINGIZI MNOONO KWENYE DALADALA!!

Jamaa akiuchapa usingizi vilivyo kwenye dalada linalofanya safari kati ya Masaki na Posta Camera ya FULLSHANGWE ilimnasa leo asubuhi jamaa huyo ambaye jina lake halikujulikana mara moja katika daladala hiyo akiwa amelala kwa staili ya aina yake, haikujulikana jamaa huyo alikuwa amechoka sana au vipi manake mida yenyewe ilikuwa asubuhi ndiyo kwanza watu wanaelekea kazini kwa mtindo huu maendeleo yatakuja kweli wadau kazi kwenu.

Staili nyingine ya jamaa hii hapa yaani utachoka mwenyewe.



You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment