Happy Birthday Gloria Agapiti Michael Meiseyeki!!

Gloria katika pozi la furaha.
Hongera kwa kutimiza miaka 21 leo, Gloria anawasalimia rafiki zake wote wanaomfahamu popote walipo na anawatakia maisha marefu ili nao wafikie siku kama ya leo ambayo yeye anasherehekea kuzaliwa kwake

Gloria anasema yeye hupendelea kuogelea, kusoma vitabu na kutembelea ndugu jamaa na marafiki, FULLSHANGWE tunamtakia maisha mema na mafanikio katika maisha yake ya kila siku Hongera sana dada Gloria kwa kutimiza miaka hiyo 21

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment