DAUDI NA ANITA WAKIMEREMETA!

Mwaishoni mwa Wikiendi katika kanisa la Shaloom huko Mbezi Beach ndiko Bro. Daudi Boniface Magesa alipofungua ukurasa mpya wa maisha baada ya kufunga ndoa na dada Anita Masika na kufuatiwa na hafla ya kukata na shoka iliyofanyika Sinza Lion Hotel jijini Dar es Salaam kama unavyowaona wakiwa wamepozi katika picha ya pamoja.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment