
Haoa watoto wakicheza muziki nje ya lango kuu la kuingilia kwenye viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere ambako watoto wengi walijitokeza jana ili kutembelea katika viwanja hivyo wakati wa sikukuu ya Eid el Fitri.

Kama unayoona umati mkubwa wa watoto wakivinjari katika viwanja hivyo ikiwa ni pamoja na kujionea mandhari ya viwanja hivyo ambayo imeendelea kuvutia kwa muda wote toka maonyesho ya mwaka huu yalipomalizika mwezi Julai kutokana na kutunzwa vizuri na Bodi ya Halmashauri ya biashara ya nje BET.

Wakati wa sikukuu ya Eid el Fitri watoto wamejumuika kwa pamoja maeneo mbalimbali kama vile viwanja vya mwalimu J.K.Nyerere ambako watoto walijitokeza kwa na kutembelea viwanja hivyo ambako kwa sasa linafanyika tam,asha la wajasiriamali nchini.
0 comments:
Post a Comment