Timu ya Soka ya Fiyness Veteran ya Temeke Chang’ombe yajiwinda kwa mpambano wao dhidi ya Tanga Veterani!!

Kiungo wa Timu ya Soka ya Fiyness Veterani ya Temeke Chang’ombe, Shaaban Ally(kushoto) akijiandaa kumtoka Deo John, wakati wa mazoezi ya timu hiyo katika Uwanja wa Sigara TCC Chang’ombe, Dar es Salaam leo, Timu hiyo inajiwinda kwa ajili ya mchezo wa Marudiano wa kirafiki na wenzao wa Tanga Veterani mchezo uliopangwa kuchezwa Mombasa, Kenya baada ya Mfungo wa Ramadhani

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment