SIMBA YAVUNJA MWIKO MBEYA, YANGA YAFANYA KWELI KWA BIBI!!

Kikosi cha Simba katika picha ya pamoja.
Kikosi cha Yanga katika picha ya pamoja.

Timu ya Simba ya jijini Dar imeifunga kwa goli moja Timu ya prison ya Mbeya Goli lililofungwa na mchezaji David Naftari katika kipindi cha pili cha mchezo huo uliochezwa katika uwanja wa Sokoine Mkoani Mbeya kati ya timu hizo huu ni ushindi wa pili mfululizo kwa timu hiyo kutoka mtaa wa msimbazi katika mchezo huo pia mchezaji Danny Mrwanda ameumia na kukimbizwa Hospital,
Katika mchezo wa fungua dimba iliifunga majimaj magoli 2-0 mjini Songea wiki iliyopita hivyo kwa sasa simba imejikusanyia pointi 6 na watani wao wa jadi Timu ya yanga itakuwa na point 5 baada ya kutoka sare 1-1 katika mchezo wao wa kwanza kati yake na Africa Lione uliofanyika kwenye uwanja wa Bibi yaani Uhuru leo Yanga nao katika uwanja huohuo wa uhuru wameifunga Manyema kwa magoli 3-0 magoli hayo yakifungwa na mchezaji Jerry Tegete 2 na Mike Baraza goli 1 na huko songea pia jahazi la majimaji limezamwa kwa watoto wa kocha mreno Africa lione

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment