VIJANA WA TANZANIA WATEMBELEA KITUO CHA WAZEE CHINA!!

Mkuu wa msafara wa ujumbe wa vijana ulioko mjini Qingdao,China ambaye pia ni Mkurugenzi wa Shule za Sekondari kutoka Wizara ya Elimu ya Mfunzo na Ufundi,Leornard Musaroche akizungumza na Bi. Li Aiguo Mkurugenzi mkuu wa kituo cha huduma za jamii cha Zhanshan.
Picha no Aron Msigwa – MAELEZO.

Vijana kutoka Tanzania walio ziarani China wakiwaangalia wazee wakicheza karata katika kituo cha huduma za jamii cha Zhanshan mjini Qingdao , China . Kituo hicho hutoa huduma mbalmbali kwa wazee wastaafu na wale wasiojiweza zikiwemo huduma nyingine za jamii .


Raia wa China wakiwa na vijana kutoka Tanzania (hawapo pichani) wakimuangalia mnyama maarufu nchini China anayejulikana kama tembo wa baharini (sea elephant) wakati akitoa burudani huku akipuliza zumari yenye milio tofauti na kushangiliwa na umati wa watu katika hifadhi ya Polar sea mjini Qingdao.



You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment