UNATAKA KUPATA HUDUMA ZA SASATEL NENDA KWENYE DUKA LAO LILILOKO MTAA WA JAMHURI!!

Hili ndilo duka la kampuni ya simu za mkononi ya Sasatel lililoko mtaa wa Jamhuri kwa mahitaji yako ya simu za mezani zimu za mkononi na kuunganishwa na mtandao (Internet) nemda waone katika maduka yao yalioyotapakaa hapa jijini liliwemo hili la mtaa Jamhuri.
Meneja wa duka la Sasatel lililoko mtaa wa Jamhuri Lusako Owen kushoto akiwapa vipeperushi wateja waliotembelea dukani hapo ili kupata huduma, vipeperushi hivyo vina maelezo muhimu juu ya matumizi ya simu zinazouzwa na kampuni hiyo na viwango vya malipo kwa wateja wa kampuni hiyo


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment