SIMBA YASAJIRI YOSSO WATATU KUTOKA MJINI MAGHARIBI ZANZIBAR!!

Wajumbe wa kamati ya usajili ya simba Godfrey Nyange (Kaburu) kushoto na Mulamu Ng'ambi kulia wakiwa pamoja na wachezaji waliosajiliwa kutoka timu ya Mjini Magharibi Zanzibar ,mabingwa wa Copa Cocacola na ambao pia ni wachezaji wa timu ya taifa ya Zanzaibar.
Wachezaji wa Timu ya Simba B. wakiwa katika picha ya pamoja kwenye mkahawa wa Hadees leo wakati walipokuwa walipokuwa wakisaini fomu za usajili na kula chakula cha mchana kabla ya kuingia kambini leo.


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment