FM ACADEMIA KUWALISHA "ZOMBO NA MATEMBELE" REDDS MISS KINONDONI IJUMAA!!

Mwandaaji wa shindano la Redds Miss Kinondoni Boy George akiongea na waandishi wa habari leo kwenye Mgahawa wa Hadees, wakati alipozungumzia maandalizi ya shindano hilo litakalofanyika ijumaa ya wiki hii tarehe 31 julai pale Mlimani City jijini Dar es alaam kushoto ni Kiongozi wa Bendi ya Fm Academia mwanamuziki Nyoshi El Sadaat na kulia mwisho ni Miss Vodacom Tanzania 2007 Richa Adhia, anayefuata ni Mkurugenzi wa Miss Kinondoni Rahma George Fm Academia watatoa burudani katika shindano hilo.
Warembo watakaoshiriki katika shindano la Redds Miss Kinondoni wakipozi katika picha mara baada ya kumalizika kwa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo kwenye mgahawa wa Hadees jijini Dar es alaam.


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment