VIKOSI VYA ZIMAMOTO VYAPAMBANA NA KUZIMA MOTO KATIKA KIWANDA CHA BIA!!

Vikosi vya Zimamoto kutoka Knight Support na Kikozi cha Jiji vikiwa kazini wakati askari wake walipopambana kwa nguvu zote kuhakikisha wanazima moto uliokuwa ukiwaka katika kiwanda cha bia cha TBL kama unavyoona katika picha hali ilivyokuwa kiwandani hapo leo alfajiri na kufanikiwa kuuzima moto huo kabla haujaleta madhara makubwa zaidi.
Moto ukiwa unawaka kwa kasi kubwa kiwandani hapo hali iliyokuwa ikitishia kuteketeza kiwanda hicho kabla ya moto huo kuzimwa na vikosi vya zimamoto.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment