MDAU SAMANTHA EDWIN TEMBA AFIKISHA SIKU YA 40!!

Edwin Temba aka (Mac Temba) anasema "Wadau jana mtoto wangu kafikisha siku ya 40 tangu azaliwe, akiwa na afya njema namshukuru sana mungu"! Na sisi pia kama wana FULLSHANGWE tunamtakia kila heri baby Samantha Edwin Temba pia tunawatakia bwana Edwin na my wife wake wampe malezi mema mtoto Samantha kwa sababu ya ugumu wa malezi kutokana na Utandawazi.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment