Wasanii wa kundi la Wise Crew linalopatikana katika chuo kikuu chaTumaini mkoani Arusha wako katika hatua za mwisho za kukamilishakaziyakurekodi album yao itakayoitwa IMEBAKI STORY, siku ya jumamosi watarekodi wimbo wa kumi ambao ndiyo utakamilisha album hiyo, wimbo huu unaitwa WASICHANA WA VYUO VIKUU katika wimbohuo watamshilikisha mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Bongofleva kutoka kanda ya ziwa anayejulikana kama Jitamani na kazi hiyo itafanyika kwenye studio ya Noizmaker Arachuga chini ya mtayarishaji wa muziki DXWISE CREW KULIPUKA NA "IMEBAKI STORI" HIVI KARIBUNI!!
Posted by
ADMIN
Wasanii wa kundi la Wise Crew linalopatikana katika chuo kikuu chaTumaini mkoani Arusha wako katika hatua za mwisho za kukamilishakaziyakurekodi album yao itakayoitwa IMEBAKI STORY, siku ya jumamosi watarekodi wimbo wa kumi ambao ndiyo utakamilisha album hiyo, wimbo huu unaitwa WASICHANA WA VYUO VIKUU katika wimbohuo watamshilikisha mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Bongofleva kutoka kanda ya ziwa anayejulikana kama Jitamani na kazi hiyo itafanyika kwenye studio ya Noizmaker Arachuga chini ya mtayarishaji wa muziki DXYou liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment