wanariadha watembelea bandari kujionea shughuli mbalimbali za upakuaji wa mizigo!!


Mwanariadha Fabian Joseph (kulia) akimuuliza swali Meneja Huduma za Wateja wa Kampuni ya Kuhudumia Makontena Bandarini (Ticts), Bw. Focus Issango (kushoto) wakati wanariadha watakaoshiriki mashindano ya riadha ya Taifa walipotembelea bandari ya Dar es salaam jana. Wanaotazama kutoka kushoto ni Simon Mrashani na Rogati Steven (Picha na Mpiga Picha Wetu)

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

1 comments:

  1. ticts mmefulia

Post a Comment