Kama unavyoona katika picha mkurugenzi wa duka La Classic Wear Bw. Abubakar K. Rubeya na Mdogo wake Foward Karama Rubeya wakipanga nguo mpya zilizoingia sokoni Dukani hapo, Ukitaka kutoka Briingbriing kwa viwalo babkubwa kwa upande wa wanaume, wanawake na watoto nenda Classic Wear Duka kubwa la nguo za kila aina lililopo Vertenary Oilcom Petrol Station Tazara katika Barabara ya Mandela utapata kila unachohitaji kwa mavazi ya aina zote na Vipodozi kwa mawasiliano zaidi piga simu No 255773-666008 au 255717-607000 Email abubakar110@hotmail.com
UKITAKA KUTOKA KIBRINGBRING NA PAMBA ZILIZOENDA SHULE NENDA CLASSIC WEAR!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment