Mhasibu Mkuu wa Bodi ya kituo cha kulelea watoto yatima cha SOS Children’s Hilary Biduga(kushoto)Akimuonyesha mazingira ya kituo hicho Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Dietlof Mare(kulia)alipotembelea rasmi na kuahidi kutoa msaada wa kompyuta na Luninga.(katikati)Mkuu wa Vodacom Foundation Mwamvita Makamba.
VODACOM YAAHIDI KUTOA KOMPYUTA NA LUNINGA KWA KITUO CHA WATOTO YATIMA CHA SOS CHILDREN'S!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment