THE NGOMA AFRICA BAND KUTINGISHA TENA KWENYE TAMASHA LA AFRICA FESTIVAL!!

Hapa wakiwa katika moja yaonyesho lao kubwa walilolifanya huko ujerumani hivi karibuni katika Masala Festival. The Ngoma Africa band kutingisha jukwaa tena ! AFRIKA FESTIVAL,Goeppingen City,Germany
The Ngoma Africa Band aka FFU!na mdundo wao wa "Bongo Dansi" wanatarajiwa kutingisha jukwaa lingine katika onyesho kubwa la Afrika Festival litakalo fanyika mjini Goeppingen,Ujerumani siku ya jumamosi ya 4 Julai 2009 saa 2.00 Usiku.
Bendi hiyo maarufu na dansi lake linalowatia kiwewe washabiki huko ughaibuni, wanasubiliwa kwa hamu nwww.myspace.com/thengomaafrica pia unaweza kuwasiliana kwa kupitia.
ngoma4u@googlemail.coma washabiki katika onyesho hilo.
Wasikilize hapa


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment