BEENMAN AWAPIGISHA KWATA MASHABIKI WAKE JIJINI DAR ES ALAAM!!

Mwanamuziki Beenman kutoka Jamaica akidatisha mashabiki wake wakati alipofanya onyesho la kukata na shoka katika viwanja vya Posta Kijitonyama jijini Dar es alaam jana mashabiki na wapenzi wengi wa mwanamuziki huyo walijitokeza kumsapoti katika onyesho lake mwanamuziki huyo machachali anajulikana kama The King Of Dancehall.
Mashabiki mbalimbali waliojitokeza kwenye onyesho la mwanamuziki Beenman kutoka nchini Jamaica wakishangilia kwa nguvu wakati mwanamuziki huyo alipokuwa akikamua vyakutosha jukwaani katika viwanja vya Posta Kijitonyama jana usiku.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment