MWANAMUZIKI KOFFIE OLOMIDE AJIMUVUZISHA MJENGONI KWA RAHA ZAKE!!

Mwanamuziki kutoka jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo Koffie Olomide (Kushoto) akizungumza na mkurugenzi wa Clouds Entarteinmet Media Group Bw. Joseph Kusaga wakati alipomtembelea ofisini kwake katika mjengo huo mpya huko Mikocheni FULLSHANGWE inawapa pongezi sana wana wa Clouds kwa kujimuvuzisha mjengoni mungu awape baraka tele muendelee kugawa shangwe kama kawaida yenu.
Mwanamuziki nguli wa Afrika mashariki na kati aliyejizolea sifa kedekede Dunia nzima Koffie Ololmide akisaini katika picha yake wakati alipotembelea Mjengoni yaani Ofisi mpya za Radio Clouds (Radio ya watu) leo huko huko Mikocheni.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment